Juni 29,1990: Mwalimu Nyerere Anaeleza kuwa kwa sasa si rahisi kwa
Tanzania kuendelea kuwa na chama kimoja tu cha siasa.
Juni 29, 1961: Chuo cha Itikadi za siasa cha chama cha TANU
kinafunguliwa huko Kigamboni. Colin Ley anakuwa mkuu wa kwanza wa chuo
hicho.
Juni 29, 1974: Sheria inayowapa haki sawa Wa-Marekani wote (Civil
Righst Act), inapitishwa baada ya kukwamishwa bungeni kwa mizengwe
(filibuster) ya siku 83.
June 29, 1858: George Washington Goethals, mhandisi aliyejenga mfereji
maarufu wa Panama, anazaliwa.
1972:Mahakam Kuu ya Marekani inatamka kuwa adhabu ya kifo ni ya
kikatili na isiyo ya kawaida kwa binadamu.
1995: George Foreman anapoteza taji la ubingwa wa ndondi za juu
duniani baada ya kukacha pambano dhidi ya Axel Schulz
1861: William James Mayo, mwanzilishi wa mtandao wa kliniki kubwa
zaidi duniani (Mayo Clinic) anazaliwa.
1865: Shigechiyo Izumi, mtafiti aliyebainisha kwa kuthibitisa kitu cha
kale zaidi duniani, anazaliwa.
No comments:
Post a Comment