Friday, February 24, 2012

JUNI 30 KATIKA HISTORIA (JUNE 30 HISTORY IN KISWAHILI)

*Juni 30,1960: LEGCO, Baraza la Kutunga sheria la Kikoloni Tanganyika
linavunjwa ili kuruhusu uchaguzi Mkuu wa kwanza kuelekea Uhuru wa
Tanganyika ufanyike.
*Juni 30, 1985: Mateka 39 walikuwa bado wakishikiliwa na Waarabu,
wanaachiwa huko Beirut.
*Juni 30, 1934: usiku wa kutisha wa Visu Virefu (“Night of Long
Knives”),Hitler anafanya jaribio la kuondokana na maadui zake ndani ya
chama cha NAZI.
*Juni 30, 1966: Mike Tyson, bondia maarufu bingwa wa dunia kwa muda
mrefu miaka ya themanini anazaliwa. Ndiye binadamu mdogo zaidi
kushinda mataji yote makubwa ya ndondi: WBC, WBA na IBF.
*Juni 30, 1984: Fantasia Barrino, mwanamuziki maarufu wa marekani anazaliwa.
*Juni 30, 1985: Muogeleaji mahiri na bora kuliko wote walipta kuishi
duniani anzaliwa. Ameshinda medali za dhabau 14 za Olimpiki na kuvunja
rekodi 37 duniani.

No comments:

Post a Comment