Julai 11 Historia
*Julai 11, 1905: Meli ya kivita ya Kijerumani iitwayo Konisberg
inazamishwa majini katika mto Rufiji na majeshi ya Uingereza wakati
Vita vya Kwanza vya Dunia Tanganika vikipamba moto.
*Julai 11, 2008: Abbas Kandoro, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam anawaeleza waandishi wa habari kuwa uchunguzi uliofanywa na
timu aliyoiunda umebaini kuwa kifo cha mjamzito Teddy Abel aliyefariki
katika hospitali ya Mwananyamala Juni 1, 2008 hakikuwa kimesababishwa
na uzembe.
*Julai 11, 1991: Ndege namba DC-8 ya Shirika la ndege la Nigeria
inaanguka huko Saudi-Arabia na kua abiria 261.
*Julai 11, 1988: Mike Tyson anamuajiri bilionea Donald Trump kuwa mshauri wake.
*Juali 11, 1984: Lucas Mangope anachaguliwa tena kuwa Rais wa Botswana.
*Julai 11, 1981: Sebastian Coe wa Uingereza anaweka rekodi ya dunia ya mbio.
*Julai 11, 1973: Ndege ya Shirika la Ndege la Brazil aina ya Boeing
707 inaanguka huko Paris,na kua watu 122.
No comments:
Post a Comment