*Julai 23, 1983; Kesi ya Uhaini kubwa na ya aina yake Tanzania inaanza
kuunguruma.Inawakabili akina Hatty Mcghee, Uncle Tom na wenzao.1992:
Mfalme Haile Selassie, Ras Tafari Makonnen,wa Ethiopia, anazikwa.
*Julai 23, 1973: Omar Epps, mwigizaji sinema mashuhuri mweusi wa
Mreakni, anazaliwa.
*Julai 23, 1973: Monica Lewinsky, mwanadada aliyemtia kashfani Rais
Bill Clinton wa Marekani, anazaliwa.
*Julai 23, 1973: Rais Richard Nixon wa marekania ankataa kutoa
hadharani mikanda ya mazungumzo wakati wa uchunguzi wa kashfa kubwa
ya watergate. Baadaye alijiuzulu.
*Julai 23, 1921: Chama cha Kikomounuisti cha china kinaanzishwa chini
ya Henk Sneevliet
*Julai 23, 1798: Jemedari Napoleon Bonaparte wa Ufaransa anauvamia na
kuutwa mjiwa Alexandria, Misri.
No comments:
Post a Comment