Julai 6:
1954: Elvis Presley anatoa kibao chake cha kwanza kutamba zaidi enzi
zake. Ni wimbo maarufu "That's All Right" .
*Julai 6, 2008: Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli,
anael;eza kuwa serikali itaanza kulitumia jeshi la Wananchi wa
Tanzania katika kukabiliana na wavuvi haramu hasa wale walio katika
meli za kigeni na watumiao mabomu. Anaeleza pia Tanzania imeamua
kuchukua hatua hiyo kwa sababu imechoka kugeuzwa “shamba la bibi.”
*Julai 6, 2008: Hayati Rashid Mfaume Kawawa anawataka Watanzania na
hasa viongozi na wasomi kuacha woga katika kuandika historia ya
kumbukumbu zao.
1975: Visiwa vya Comoro vinapata uhuru kutoka kwa Wafaransa.
*Julai 6, 2002: Serena Williams anamshinda dada yake, Venus Williams
katika fainali za tenisi za Wimbledon.
* Julai 6, 2008: Mrembo Fay Anthony anachaguliwa kuwa Miss Kinondoni 2008.
* Julai 6, 2008: Jengo la ghorofa linaporomoka na kuua watu wanane huko China.
No comments:
Post a Comment