*Julai 9, 1958: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anafikishwa
mahakamani aliposhtakiwa na wakoloni kwa tuhuma za kuchapisha taarifa
zilizowachafuliwa jina wakuu wa Wilaya wawili wa Kikoloni.
*Julai 9, 1961: Mahakama kuu Kanda ya Arusha inaanzishwa.
*Julai 9, 2006: Italia inatwaa ubingwa wa soka wa FIFA wa kombe la
dunia baada ya kuinyuka Ufaransa 5-3 katika mechi ya fainali.
*Julai 9, 1947: O. J. Simpson, mcheza Baseball maarufu wa Marekani
ambaye kesi dhidi yake ya tuhuma za kumuua mkewe ilitingisha dunia,
anazaliwa.
*Julai 9, 1956: Tom Hanks, mmoja wa wacheza sinema maarufu bora kabisa
duniani, anazaliwa huko Concord, California, Marekani. Sinema zake za
kuvutia ni pamoja na , actor, Bossom Buddies, Forrest Gump,
Philadelphia
*Julai 9, 1964: Courtney Love, mwimbaji na mcheza sinema maarufu
mwenye vituko wa Marekani, anazaliwa.
* Dean Koontz, mtunzi maarufu wa riwaya za kisayansi (Sci-Fi)
anazaliwa huko Marekani. Vitabu vyake vya kuvutia zaidi ni pamoja na
Star Quest na Beastchild.
*Julai 9, 1863: Daniel Hale Williams, daktari bingwa wa upasuaji wa
moyo, anafanikiwa kufanya oparesheni ya kwanza ya moyo wa binadamu
bila kutumia ganzi.
*Julai 9, 1973: Richard Roundtree, mcheza sinema wa Marekani
aliyetamba katika sinema maarufu za Getting Even na Shaft, anazaliwa
huko New Rochelle, New York.
*Julai 9, 1996: Mike Piazza wa timu ya Los Angeles Dodgers
anachaguliwa kuwa mchezaji mwenye thamani zaidi (MVP).
*Julai 9, 2000: Pete Sampras anamshinda Pat Rafter katika fainali za
mchezo wa tenisi wanaume za Wimbledon.
*Julai 9, 1917: Meli kubwa ya kijeshi ya Uingereza iitwayo "Vanguard"
inalipuka katika eneo liitwalo Scapa Flow na kuua watu 804 wakati
vita vya kwanza vya dunia vikiendelea.
No comments:
Post a Comment